Loading...

VIDEO: Chelsea walivyoilaza Swansea kwa kichapo cha goli 3-1

Cesc Fabregas aliifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 19 katika ushindi wa 3- dhidi ya Swansea City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. 
Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Pedro dakika ya 72 na Diego Costa dakika ya 84, wakati la Swansea lilifungwa na Fernando Llorente dakika ya 45.

VIDEO: Chelsea walivyoilaza Swansea kwa kichapo cha goli 3-1 VIDEO: Chelsea walivyoilaza Swansea kwa kichapo cha goli 3-1 Reviewed by Zero Degree on 2/25/2017 10:28:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.