Loading...

VIDEO: Jinsi Barcelona walivyoiadhibu klabu ya Alaves kwenye La Liga

Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akipongezwa na wenzake, Luis Suarez na Neymar Jr. Baada ya Alexis Ruano wa Alaves kujifunga dakika ya 63 kuipatia Barca bao la nne katika ushindi wa 6-0 kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Mendizorroza, Vitoria-Gasteiz.

Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Suarez mawili dakika za 37 na 67, Neymar dakika ya 40, Messi dakika ya 59 na Ivan Rakitic dakika ya 65.

VIDEO: Jinsi Barcelona walivyoiadhibu klabu ya Alaves kwenye La Liga VIDEO: Jinsi Barcelona walivyoiadhibu klabu ya Alaves kwenye La Liga Reviewed by Zero Degree on 2/12/2017 12:51:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.