Loading...

VIDEO: Manchester City yarejea nafasi ya pili kwa ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Bournemouth

Bournemouth walijaribu kufurukuta na kuzuia mashambulio ya City, lakini hawakuweza kuiteteresha ngome ya City. Goli la pili la City lilikuwa la kujifunga kupitia Tyrone Mings katika dakika ya 69.

Man City sasa imefikisha pointi 52, nane nyuma ya Chelsea wanaoongoza ligi wakiwa na pointi 60. Hata hivyo ushindi wa Man City huenda ukawa umeingia chachu kidogo, kufuatia Gabriel Jesus kuumia.



VIDEO: Manchester City yarejea nafasi ya pili kwa ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Bournemouth VIDEO: Manchester City yarejea nafasi ya pili kwa ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Bournemouth Reviewed by Zero Degree on 2/14/2017 11:46:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.