Loading...

AUDIO: Gaucho aingia rasmi kwenye tasnia ya muziki, sikiliza wimbo wake mpya 'Sozinho'

Kutoka kuwa mchezaji bora kwenye soka hadi kwenye kazi ya muziki. Mchezaji bora wa dunia mwaka 2005, Ronaldinho Gaucho ameamua kuingia kwenye tasnia ya muziki kwa kuachia wimbo wake wa kwanza ‘Sozinho’.

Usikilize wimbo huo hapo chini:

AUDIO: Gaucho aingia rasmi kwenye tasnia ya muziki, sikiliza wimbo wake mpya 'Sozinho' AUDIO: Gaucho aingia rasmi kwenye tasnia ya muziki, sikiliza wimbo wake mpya 'Sozinho' Reviewed by Zero Degree on 3/29/2017 11:38:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.