Loading...

Baada ya FIFA kumfungia mechi 4 kwa kumtukana mwamuzi, ...Messi ameyasema haya

Baada ya Lionel Messi kufungiwa mechi nne na shirikisho la soka la kimataifa (Fifa) baada ya kudaiwa kumtukana muamuzi wa pembeni.

Wakati wa mchezo dhidi ya Chile uliyochezwa March 24 2017, baada ya kufungiwa Lionel Messi mtandao wa bleacherreport ulimtafuta Lionel Messi na haya ndio yalikuwa maneno yake.

“Maneno yangu hayakuwa yamemlenga moja kwa moja muamuzi msaidizi, kuna maneno ambayo yalikuwa yamesemwa kwangu mimi nilijisemea tu” >>> Lionel Messi
Baada ya FIFA kumfungia mechi 4 kwa kumtukana mwamuzi, ...Messi ameyasema haya Baada ya FIFA kumfungia mechi 4 kwa kumtukana mwamuzi, ...Messi ameyasema haya Reviewed by Zero Degree on 3/30/2017 09:56:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.