Loading...

Chama Cha Mapinduzi [CCM] kufungua Chuo Kikuu

Katibu itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi ‘CCM’, Humphrey Polepole amesema kupitia kipindi cha Mada moto cha Chanel Ten kuwa chama hicho kinampango wakufungua chuo Kikuu cha CCM ambacho kitatoa mafunzo kwa wanachama, makada na viongozi wote wa chama na hata waliopo serikalini kupitia chama ilikuwafundisha itikadi za chama.

“Unajua chama cha Mapinduzi na chama cha kikominist (Uchina) ni marafiki, tumeamua tujenge chuo kikuu cha chama cha mapinduzi ambacho kitakuwa na kazi ya kuwafundisha wanachama, makada,viongozi na wale waliopata dhamana serikalini”-Humphrey Polepole

Aidha Polepole amesema…..>>>Kupitia chama cha mapinduzi tutawafundisha ili tuelewane itikadi yetu, watu hujiunga na chama si kwa ajili ya ushabiki ila watu wanajiunga na chama kwa sababu wanaamini wameielewa itikadi ya chama hiki ni nini”-Humphrey Polepole
Chama Cha Mapinduzi [CCM] kufungua Chuo Kikuu Chama Cha Mapinduzi [CCM] kufungua Chuo Kikuu Reviewed by Zero Degree on 3/07/2017 12:38:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.