Loading...

Hiki hapa kikosi cha wiki La Liga, Messi na Ronaldo nje

Washambuliaji nyota duniani, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wametupwa nje katika timu ya wiki ya La Liga.

Wawili hao kutoka Barcelona na Real Madrid hawajapata nafasi ya kuingia katika kikosi hicho huku Neymar wa Barcelona na Antoine Griezmann wa Atletico Madrid pamoja na Karim Benzema wa Real Madrid wakipewa nafasi ya kuongoza mashambulizi.

Hiki hapa kikosi cha wiki La Liga, Messi na Ronaldo nje Hiki hapa kikosi cha wiki La Liga, Messi na Ronaldo nje Reviewed by Zero Degree on 3/20/2017 11:30:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.