Loading...

Hii hapa Orodha kamili ya Mataifa yenye raia wenye furaha zaidi duniani

Picha ya Mtandao
Ripoti ya Viwango vya Furaha katika mataifa mbalimbali Duniani kote ya mwaka 2017 ambayo imetolewa leo ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Furaha Duniani ya Umoja wa Mataifa ambayo huadhimishwa kila tarehe 20 Machi.

Orodha imechukua takwimu kutoka mwaka 2014 hadi 2016.

Orodha hiyo huaandaliwa kwa kuangazia pato la mtu kwa kila mwaka, miaka ambayo mtu anatarajiwa kuishi, kuwa na mtu wa kutegemea kwa usaidizi, dhana ya kuwepo uhuru wa kufanya maamuzi maishani, uhuru kutoka kwa ufisadi, na ukarimu miongoni mwa mengine.

Imetayarishwa na shirika la maendeleo endelevu, Sustainable Development Solutions Network (SDSN), ambalo lilianzishwa na Umoja wa Mataifa.
Orodha kamili:

1. Norway (7.537)

2. Denmark (7.522)

3. Iceland (7.504)

4. Uswizi (7.494)

5. Finland (7.469)

6. Uholanzi (7.377)

7. Canada (7.316)

8. New Zealand (7.314)

9. Australia (7.284)

10. Sweden (7.284)

11. Israel (7.213)

12. Costa Rica (7.079)

13. Austria (7.006)

14. Marekani (6.993)

15. Ireland (6.977)

16. Ujerumani (6.951)

17. Ubelgiji (6.891)

18. Luxembourg (6.863)

19. Uingereza (6.714)

20. Chile (6.652)

21. Umoja wa Milki za Kiarabu (6.648)

22. Brazil (6.635)

23. Jamhuri ya Czech (6.609)

24. Argentina (6.599)

25. Mexico (6.578)

26. Singapore (6.572)

27. Malta (6.527)

28. Uruguay (6.454)

29. Guatemala (6.454)

30. Panama (6.452)

31. Ufaransa (6.442)

32. Thailand (6.424)

33. Taiwan (6.422)

34. Uhispania (6.403)

35. Qatar (6.375)

36. Colombia (6.357)

37. Saudi Arabia (6.344)

38. Trinidad na Tobago (6.168)

39. Kuwait (6.105)

40. Slovakia (6.098)

41. Bahrain (6.087)

42. Malaysia (6.084)

43. Nicaragua (6.071)

44. Ecuador (6.008)

45. El Salvador (6.003)

46. Poland (5.973)

47. Uzbekistan (5.971)

48. Italia (5.964)

49. Urusi (5.963)

50. Belize (5.956)

51. Japan (5.920)

52. Lithuania (5.902)

53. Algeria (5.872)

54. Latvia (5.850)

55. Moldova (5.838)

56. Korea Kusini (5.838)

57. Romania (5.825)

58. Bolivia (5.823)

59. Turkmenistan (5.822)

60. Kazakhstan (5.819)

61. Cyprus Kaskazini (5.810)

62. Slovenia (5.758)

63. Peru (5.715)

64. Mauritius (5.629)

65. Cyprus (5.621)

66. Estonia (5.611)

67. Belarus (5.569)

68. Libya (5.525)

69. Uturuki (5.500)

70. Paraguay (5.493)

71. Hong Kong (5.472)

72. Ufilipino (5.430)

73. Serbia (5.395)

74. Jordan (5.336)

75. Hungary (5.324)

76. Jamaica (5.311)

77. Croatia (5.293)

78. Kosovo (5.279)

79. China (5.273)

80. Pakistan (5.269)

81. Indonesia (5.262)

82. Venezuela (5.250)

83. Montenegro (5.237)

84. Morocco (5.235)

85. Azerbaijan (5.234)

86. Jamhuri ya Dominika (5.230)

87. Ugiriki (5.227)

88. Lebanon (5.225)

89. Ureno (5.195)

90. Bosnia na Herzegovina (5.182)

91. Honduras (5.181)

92. Macedonia (5.175)

93. Somalia (5.151)

94. Vietnam (5.074)

95. Nigeria (5.074)

96. Tajikistan (5.041)

97. Bhutan (5.011)

98. Kyrgyzstan (5.004)

99. Nepal (4.962)

100. Mongolia (4.955)

101. Afrika Kusini (4.829)

102. Tunisia (4.805)

103. Maeneo ya Palestina (4.775)

104. Misri (4.735)

105. Bulgaria (4.714)

106. Sierra Leone (4.709)

107. Cameroon (4.695)

108. Iran (4.692)

109.Albania (4.644)

110. Bangladesh (4.608)

111. Namibia (4.574)

112. Kenya (4.553)

113. Msumbiji (4.550)

114. Myanmar (4.545)

115. Senegal (4.535)

116. Zambia (4.514)

117. Iraq (4.497)

118. Gabon (4.465)

119. Ethiopia (4.460)

120. Sri Lanka (4.440)

121. Armenia (4.376)

122. India (4.315)

123. Mauritania (4.292)

124. Congo (Brazzaville) (4.291)

125. Georgia (4.286)

126. Congo (Kinshasa) (4.280)

127. Mali (4.190)

128. Ivory Coast (4.180)

129. Cambodia (4.168)

130. Sudan (4.139)

131. Ghana (4.120)

132. Ukraine (4.096)

133. Uganda (4.081)

134. Burkina Faso (4.032)

135. Niger (4.028)

136. Malawi (3.970)

137. Chad (3.936)

138. Zimbabwe (3.875)

139. Lesotho (3.808)

140. Angola (3.795)

141. Afghanistan (3.794)

142. Botswana (3.766)

143. Benin (3.657)

144. Madagascar (3.644)

145. Haiti (3.603)

146. Yemen (3.593)

147. Sudan Kusini (3.591)

148. Liberia (3.533)

149. Guinea (3.507)

150. Togo (3.495)

151. Rwanda (3.471)

152. Syria (3.462)

153. Tanzania (3.349)

154. Burundi (2.905)

155. Jamhuri ya Afrika ya Kati (2.693

Source: BBC Swahili
Hii hapa Orodha kamili ya Mataifa yenye raia wenye furaha zaidi duniani Hii hapa Orodha kamili ya Mataifa yenye raia wenye furaha zaidi duniani Reviewed by Zero Degree on 3/20/2017 11:25:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.