Loading...

Hili ndilo jibu la Diamond Platnumz kwa shabiki alieuliza kwa nini hatoi sadaka

Staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz ambae hakuweza kufisha hisia zake na kumjibu shabiki ambae alicomment kwenye ukurasa wake wa instagram na kuuliza kwanini hatoi sadaka.

Diamond Platnumz alimjibu na kuyaandika haya…>>>“Nimejenga nyumba 5 mwaka jana Iringa, Misikiti miwili na mmoja Morogoro na pia mwingine Mtwara na madrasa Tegeta na nyumba ya imamu mbali na sadaka unataka nitoe hela zote sadaka nami nisifuhishe nafsi yangu embu niombe radhi kwa hilo.” – Diamond.

Hili ndilo jibu la Diamond Platnumz kwa shabiki alieuliza kwa nini hatoi sadaka Hili ndilo jibu la Diamond Platnumz kwa shabiki alieuliza kwa nini hatoi sadaka Reviewed by Zero Degree on 3/29/2017 12:14:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.