Loading...

VIDEO: Muimbaji wa 'Kidato Kimoja', J.I amerudi tena na wimbo mpya ‘Sijatosheka’

Muimbaji wa Kidato Kimoja, J.I amerudi tena na kazi mpya aliyoipa jina ‘Sijatosheka.’ Video imeongozwa na Tiger na kufanyika nchini Kenya na wimbo umetayarishwa kwenye studio za Urban Scotch Records. 

Tazama video ya wimbo huo hapa chini:

VIDEO: Muimbaji wa 'Kidato Kimoja', J.I amerudi tena na wimbo mpya ‘Sijatosheka’ VIDEO: Muimbaji wa 'Kidato Kimoja', J.I amerudi tena na wimbo mpya ‘Sijatosheka’ Reviewed by Zero Degree on 3/29/2017 12:21:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.