Loading...

Jibu la Ian Wright kwa shabiki wa Chelsea aliyesema Diego Costa ni bora zaidi kuliko Drogba

Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Ian Wright
Kama ambavyo Costa anajiadaa kushinda kwa mara ya pili taji la Ligi Kuu ya Uingereza kama ikiwezekana, tayari watu wameshaanza kuzilinganisha rekodi.

Baada ya kumlinganisha Costa na baadhi ya nyota waliowahi kuichezea Chelsea, nyota mmoja wa zamani wa Arsenal, Ian Wright ameibuka na kusema kwamba, kuwa Diego Costa ni bora zaidi kuliko Didier Drogba.


'Siwezi kuwa pamoja na shabiki wa Chelsea anayesema kwamba Diego Costa anaweza kuongoza safu ya ushamuliaji kwa ubora zaidi kuliko Didier Drogba,' Wright aliambia BT Sport.

'Nadhani Costa ana kipaji, kama ninavyosema hata mimi, atapata nafasi nyingi za kufunga magoli, lakini yeye si bora zaidi kuliko Didier Drogba.

'Drogba ni namba 9 bora, kwa kwangu mimi, bora zaidi kati ya nilikwisha waona wanaojisimamia wenyewe.'

PREMIER LEAGUE: DROGBA VS COSTA

  • COSTA: ana magoli 48 katika michezo 78
  • DROGBA: ana magoli 104 katika michezo 254
Jibu la Ian Wright kwa shabiki wa Chelsea aliyesema Diego Costa ni bora zaidi kuliko Drogba Jibu la Ian Wright kwa shabiki wa Chelsea aliyesema Diego Costa ni bora zaidi kuliko Drogba Reviewed by Zero Degree on 3/05/2017 01:50:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.