Loading...

Nape akabidhi ofisi rasmi kwa Waziri Mwakyembe

Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amekabidhi ofisi rasmi, leo.

Nape amekabidhi ofisi hiyo kwa Dk Harrison Mwakyembe ambaye anachukua nafasi yake baada ya kuteuliwa na Rais John Pombe Magufuli.




Makabidhiano hayo yalifanyika leo chini ya katibu mkuu wa wizara hiyo mjini Dodoma, leo.

Nape akabidhi ofisi rasmi kwa Waziri Mwakyembe Nape akabidhi ofisi rasmi kwa Waziri Mwakyembe Reviewed by Zero Degree on 3/28/2017 08:26:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.