Loading...

VIDEO: Uwanja wa Klabu anayochezea Carlos Tevez, Shanghai Shenhua ulivyowaka moto leo

Uwanja unaotumiwa na klabu ya soka tajiri katika ligi kuu ya China, Shanghai Shenhua ambao anachezea Carlos Tevez umeshika moto Jumanne hii.

Hata hivyo moto huo ulifanikiwa kuzimwa mapema japo chanzo cha moto huo hakijafahamika zaidi. Tazama zaidi picha za tukio hilo hapa chini.

VIDEO: Uwanja wa Klabu anayochezea Carlos Tevez, Shanghai Shenhua ulivyowaka moto leo VIDEO: Uwanja wa Klabu anayochezea Carlos Tevez, Shanghai Shenhua ulivyowaka moto leo Reviewed by Zero Degree on 3/28/2017 08:30:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.