Loading...

Mchezaji bora wa wiki katika Ligi Kuu ya Uingereza

Harry Kane ametajwa kuwa mchezaji bora wa wiki katika Ligi kuu ya uinereza baada ya kufunga 'hat trick' katika kipindi cha kwanza kuipa Tottenham Hotspur usukani wa kuongoza ba mwishowe kuibuka washindi kwa kuifunga Stoke City goli4-0.

Kane mwenye umri wa miaka 23, ametimiza 'hat trick' ya 3 katika michezo yake 9 iliyopita. 

Vile vile nyota huyo wa Uingereza yuko katika hatua ya kuelekea kuvunja rekodi kama ilivyo tayari ameshafunga magoli 22 ndani ya michezo 27 katika mashindano yote, jumlisha kuwa ndiye anayeongoza orodha ya wafungaji kwenye Ligi kuu kwa kuwa na jumla ya magoli 17.


Tazama video hapo juu uone jinsi Kane alivyowafanyia Stoke City katika mtindo wa kiutaalamu, unaweza kuamini kwamba mtaalamu huyo ana miaka 23 tu????
Mchezaji bora wa wiki katika Ligi Kuu ya Uingereza Mchezaji bora wa wiki katika Ligi Kuu ya Uingereza Reviewed by Zero Degree on 3/01/2017 11:08:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.