Picha: Hii ndio Reli inayopita ndani ya maghorofa wanayoishi watu iliyojengwa nchini China
Kwa wakazi wa mji mmoja huko China, usafiri wa treni unapatikana barazani kwao, tena ghorofani.
Katika mji wa Chongqing nchini humo, reli ya treni imejengwa kukatiza juu ya nyumba wanamoishi wapangaji.
Chongqing, mji uliopo kusini mashariki mwa China, umefurika wakazi takriban milioni 49, kitu kilichowafanya watu wanaohusika na mipango miji kuwa wabunifu.
Kutokanana hilo walianzisha mradi uliozalisha kile kilichoitwa, Mountain City.
Chongqing, mji uliopo kusini mashariki mwa China, umefurika wakazi takriban milioni 49, kitu kilichowafanya watu wanaohusika na mipango miji kuwa wabunifu.
Kutokanana hilo walianzisha mradi uliozalisha kile kilichoitwa, Mountain City.
Picha: Hii ndio Reli inayopita ndani ya maghorofa wanayoishi watu iliyojengwa nchini China
Reviewed by Zero Degree
on
3/28/2017 12:22:00 PM
Rating: