Loading...

Ronaldo atwaa tuzo ya mchezaji bora Ureno, ..awapiku Pepe na Rui Patricio

Mshambuliaji nyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa mwanasoka bora wa Ureno.

Ronaldo ameshinda tuzo hiyo jana akimpiga bao beki wa Madrid, Pepe.


Pamoja na Pepe mwingine aliyekuwa akiwania tuzo hiyo katika tamasha la Gala Quinas de Ouro ni kipa Rui Patricio wa Sporting Lisbon.
Ronaldo atwaa tuzo ya mchezaji bora Ureno, ..awapiku Pepe na Rui Patricio Ronaldo atwaa tuzo ya mchezaji bora Ureno, ..awapiku Pepe na Rui Patricio Reviewed by Zero Degree on 3/21/2017 03:50:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.