Loading...

Shehena ya viroba yakamatwa Temeke

Picha ya mtandao
Shehena ya viroba imekamatwa leo (Alhamisi) katika kiwanda cha Global Ltd kilichopo Temeke, wakati wa operasheni ya kukamata vinywaji vilivyofungashwa kwenye pakiti maarufu viroba inayoendelea jijini hapa.

Polisi walilazimika kuingia kwa nguvu na kukuta katoni 12,000 za viroba kwenye kiwanda hicho. 

Mkuu wa operasheni hiyo, Inspekta Aron Nzala amesema viroba hivyo lazima viharibiwe.

Source: Mwananchi
Shehena ya viroba yakamatwa Temeke Shehena ya viroba yakamatwa Temeke Reviewed by Zero Degree on 3/02/2017 03:32:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.