Loading...

Taarifa ya BAKWATA kuhusu Masheikh waliohudhuria ibada kanisani kwa Askofu Gwajima iko hapa

Baada ya jumapili ya Machi, 26 baadhi ya masheikh kuhudhuria ibada katika kanisa la Ufufuo na Uzima linalomilikiwa na Askofu Josephat Gwajima, Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) limetoa taarifa kuhusu watu hao.

Katika taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari wamesema kuwa Bakwata hawana uhusiano wowote na watu hao na wala hakuna uhusiano baina yao na kanisa la Ufufuo na Uzima na kuwataka Waislamu wote nchini kuendelea taifa kudumisha amani iliyopo sasa nchini.


Taarifa ya BAKWATA kuhusu Masheikh waliohudhuria ibada kanisani kwa Askofu Gwajima iko hapa Taarifa ya BAKWATA kuhusu Masheikh waliohudhuria ibada kanisani kwa Askofu Gwajima iko hapa Reviewed by Zero Degree on 3/29/2017 10:39:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.