Loading...

TANZIA: Dkt. Elly Macha [Chadema] afariki Dunia akiwa kwenye matibabu nchini Uingereza

Mbunge wa Viti Maalum wa CHADEMA, Dkt. Elly Marko Macha amefariki dunia leo katika Hospitali ya New Cross Uingereza alikokuwa akitibiwa.

Macha aliyekuwa mlemavu wa macho amefariki akiwa na umri wa miaka 55 (1962-2017).
TANZIA: Dkt. Elly Macha [Chadema] afariki Dunia akiwa kwenye matibabu nchini Uingereza TANZIA: Dkt. Elly Macha [Chadema] afariki Dunia akiwa kwenye matibabu nchini Uingereza Reviewed by Zero Degree on 3/31/2017 03:00:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.