Loading...

Zlatan Ibrahimovic afungiwa mechi 3, ...ikiwemo ya FA Cup dhidi ya Chelsea

Mshambuliaji mkongwe wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic amefungiwa mechi tatu ikiwemo ya Man U dhidi ya Chelsea katika Kombe la FA.

FA imemfungia Zlatan baada ya kubainika alimtwanga “kipepsi” beki Tyrone Mings wa Bournemouth.

Beki huyo anatarajia pia kupewa adhabu kali zaidi kwa kumkanyaga Zlatan kichwani kwa makusudi.

MECHI ATAKAZOZIKOSA ZLATAN BAADA YA KUFUNGIWA MECHI TATU KWA KUPIGA KIWIKO:

Machi13:
Chelsea (Ugenini) FA Cup
Machi 19: Middlesbrough (Ugeni) Ligi kuu
Aprili Mosi: West Brom (Nyumbani) Ligi kuu
Zlatan Ibrahimovic afungiwa mechi 3, ...ikiwemo ya FA Cup dhidi ya Chelsea Zlatan Ibrahimovic afungiwa mechi 3, ...ikiwemo ya FA Cup dhidi ya Chelsea Reviewed by Zero Degree on 3/08/2017 01:25:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.