Loading...

BreakingNews: Newcastle United wamerejea tena katika Ligi kuu ya Uingereza

Inaitwa kurejea juu kwa ari ya nguvu zaidi?

Newcastle United wamepewa sifa za kurejea katika Ligi kuu ya Uingereza baada ya kuichakaza Preston North magoli 4-1 katika uwanja wa St James' Park.

Mabao mawili kutoka kwa Ayoze Perez, pamoja na penati kutoka kwa Matt Richie pamoja na umaliziaji muzuri kutoka kwa Christian Atsu, kumewafanya Newcastle kurejea Ligi kuu.

Wanakuwa timu ya pili hadi sasa katika miaka 2 iliyopita kurejea katika Ligi kuu baada ya kushuka daraja ndani ya mwaka mmoja.

Hata kwa mechi mbili zijazo iwapo Newcastle hataweza kushindwa kurejea Ligi kuu na bado ana nafasi ya kuweza kutwa ubingwa wa Championship endapo kama Brighton na Hove Albion wafeli katika hatua za mwisho za msimu huu.
BreakingNews: Newcastle United wamerejea tena katika Ligi kuu ya Uingereza BreakingNews: Newcastle United wamerejea tena katika Ligi kuu ya Uingereza Reviewed by Zero Degree on 4/25/2017 02:29:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.