Hawa ndio watu 10 wenye akili zaidi duniani
Kipimo cha IQ ni njia pekee inayo aminiwa kupima uwezo wa akili za mtu kwa kawaida binadamu wengi wana IQ ya kuanzia 90 mpaka 110 lakini watu wachache sanaa wana IQ level ya kuanzia 140 na kuendelea hii hapa list ya watu kumi wanaoaminikia kuwa na akili hadi kufikia mwaka 2017.
2: Christopher Hirata.
Ni mnajimu aliebobea mambo ya anga kwasasa anafanya kazi katika shirika la mambo ya anga la Marekani NASA ana IQ level ya 225, akiwa na miaka 13 alipata tuzo ya mwanahisabati bora wa dunia na kuweza kupata PHD akiwa na umri wa miaka 22.
3: Kim -Um -Young.
Anachukua namba 3 kati ya watu wenye akili duniani akiwa na IQ level 210 mwaka 1990 Kim Ung –yong alishika rekodi ya dunia ya Guiness kwa kua na IQ kubwa ,kiwa na miezi 6 tu Kim Ung-Yong aliku anajua kuongea na alipofikisha miaka 3 tu alikua anaweza kuongea Japanese,Korean ,English and German .
4: Rick Rosner.
watu wengi hawakuamini baada ya Rick Rosner kugundulika kua na IQ level ya 192 kwakua kazi alizokua anafanya hazikuendana na akili yake. Kabla ya kua muandishi wa kipindi cha Jimmy Kimmel Rick Rosner alikua dansa wa club za usiku,model na waiter .
5: Garry Kasaporov.
Garry ana IQ level ya 192 ameweka rekodi ya mchezaji bora wa chess duniani pia ni anajihusisha na Siasa kwa kiasi kikubwa ambapo alitaka kugombea Urais wa Russia dhidi wa Raisi wa sasa Vladmir Putin.
6: Galileo Galilei
Licha ya kua wanasayansi mkubwa aligundua mambo mbalimbali ya anga na hisabati na fizikia Galileo ameshika namba 6 kati ya watu wenye akili duniani akiwa na IQ level ya 185 ,hadi kufikia mwaka 2017 mwanasayansi huyu hajatoka kwenye top ten anajulikana zaidi kwa ugunduzi wake wa umbo la dunia.
7: James Woods.
Ni mcheza filamu wa Marekani ambapo ameshinda tuzo mbalimbali za Academy ana IQ level ya 180 akiwa na umri mdogo Jmaes alikua anaweza kufanya hesbu ngumu licha ya uwezo wake wa mambo ya sayansi Garry aliamua kua mcheza sinema.
8: Judit Polger.
Ni mwanamke pekee aliyeko kwenye list ya watu wenye akili nyingi duniani hadi kufikia mwaka 2017, Judith ana IQ level ya 170 akiwa na miaka 15 tu aliweza kumshinda mshindi wa dunia kwenye mchezo wa chess.
9: Sir Endrew Willes.
Ni mwanahisabati na mkufunzi wa chuo kikuu cha Oxford Marekani ana IQ level ya 170 ,Andrew Wiles aliweza kukokotoa hesabu ngumu zaidi duniani za Fermat’s Last Theorem na mwaka 2016 alishinda tuzo ya Abel Prize .
10: Albert Einstein.
Ukitaja jina la Eistein unamaansiha “Genious” mwanafizikia huyu ameweza kujijengea jina kwa mchango wake mkubwa katika sekta ya sayansi na mambo ya anga, Einstein ana IQ level ya 160.
1: Terrence Tao.
Ni mwanahisabati kutoka Marekani ana kadiriwa kua na iq level ya 230 Terence Tao aliweza kufanya hisabati akiwa na miaka 2 akiwa na miaka 7 tu aliweza kufanya hesabu ngumu za level ya chuo kikuu akiwa na miaka 20 alipata PHD. Mwaka 2006 alishinda medali ya Field na mwaka 2014 alipata tuzo ya Breakthrough prize in mathematics.

Reviewed by Zero Degree
on
4/01/2017 12:10:00 AM
Rating: