Loading...

Huyu ndiye mchezaji bora wa Simba SC kwa mwezi machi

Klabu ya soka ya Simba SC imemtangaza mchezaji wake Mzamiru Yassin kuwa mchezaji bora wa timu hiyo kwa mwezi wa tatu.

Hii ni mara ya pili kwa kiungo huyo kushinda tuzo hiyo katika msimu wake wa kwanza na timu hiyo, ambapo kwa mara ya kwanza alishinda mwezi Oktoba mwaka jana baada ya kupigiwa kura nyingi na mashabiki wa timu hiyo.

Kwa upande mwingine, leo Simba itashuka dimbani katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam kucheza na Azam FC katika mchezo wa kombe la shirikisho la FA katika hatua ya nusu fainali.


Huyu ndiye mchezaji bora wa Simba SC kwa mwezi machi Huyu ndiye mchezaji bora wa Simba SC kwa mwezi machi Reviewed by Zero Degree on 4/29/2017 03:15:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.