Loading...

Kauli ya Nape Nnauye kuhusu Chama Cha Mapinduzi [CCM]

Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Moses Nnauye.
Usiku wa kuamkia leo Mbunge wa Mtama, Nape Moses Nnauye ameandika ujumbe wake wa wazi aliyowahi kuandika kipindi cha nyuma kuhusu CCM, lengo likiwa ni kuweka kumbukumbu sawa kwa watu kuhusu CCM.

“Watu wengi wanaamini nimeisaidia sana CCM lakini ukweli ni kuwa CCM imenisaidia sana mimi kuliko mimi nilivyoisaidia, CCM ni SHULE.

“Bahati niliyopata kwa kuwa muenezi CCM ni kufanya kazi na ndg Kinana ni mwema, mzalendo, hodari, uwezo mkubwa, upendo na maarifa mengi” Ameandika Nape

Kasema haya kupitia ukurasa wake wa Twitter;
Kauli ya Nape Nnauye kuhusu Chama Cha Mapinduzi [CCM] Kauli ya Nape Nnauye kuhusu Chama Cha Mapinduzi [CCM] Reviewed by Zero Degree on 4/25/2017 03:49:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.