Loading...

Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu apokea kifimbo cha Malkia Ikulu jijini Dar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea kifimbo cha Malkia kutoka kwa bondia Haji Matumla, leo Aprili 10.2017, Ikulu jijini Dar es Salaam. Kifo hicho kinapita nchi mbalimbali kuashiria uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika Australia Aprili 2018.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa kupokea kifimbo cha Malkia kuashiria uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika Australia Aprili 2018, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu apokea kifimbo cha Malkia Ikulu jijini Dar Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu apokea kifimbo cha Malkia Ikulu jijini Dar Reviewed by Zero Degree on 4/09/2017 06:27:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.