Loading...

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia msiba wa mbunge Elly Macha wa Chadema

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kufuatia kifo cha mbunge wa viti Maalum, Bi Elly Macha kilichotokea Ijumaa hii nchini Uingereza alipokuwa akipatiwa matibabu.

Hii ni taarifa yake:

Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia msiba wa mbunge Elly Macha wa Chadema Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi kufuatia msiba wa mbunge Elly Macha wa Chadema Reviewed by Zero Degree on 4/01/2017 06:06:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.