Loading...

Rita wamefuta usajili wa zaidi ya Taasisi 180 nchini

Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (Rita) umefuta usajili wa taasisi 181 baada ya kufanya mapitio ya bodi za wadhamini za taasisi zilizosajiliwa ili kufahamu uhalali wake.

Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi
Hayo yameelezwa leo bungeni na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi wakati akiwasilisha bajeti yake kwa Mwaka wa Fedha 2017/18.
Rita wamefuta usajili wa zaidi ya Taasisi 180 nchini Rita wamefuta usajili wa zaidi ya Taasisi 180 nchini Reviewed by Zero Degree on 4/25/2017 03:32:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.