Loading...

Ujumbe wa Waziri Kigwangalla kwa Mwana FA baada ya kupigiwa simu na Rais Magufuli

Baada ya Rais Magufuli kumpigia simu Mwana FA kumpongeza kuhusu single yake Dume Suruali, leo April 14, 2017 Naibu Waziri wa Afya Dr. Kigwangalla kupitia account yake ya Twitter amempongeza staa huyo kwa wimbo wake huo uliomgusa hadi Rais.

Dr. Kigwangalla amemtaka Mwana FA aendelee kufanya vizuri AKISEMA: ”Hongera somo @MwanaFA kwa kumgusa Rais wetu na mistari yako maridhawa iliyosimama! Endelea kung’aa mwanetu” – Dr. Kigwangalla.

Ujumbe wa Waziri Kigwangalla kwa Mwana FA baada ya kupigiwa simu na Rais Magufuli Ujumbe wa Waziri Kigwangalla kwa Mwana FA baada ya kupigiwa simu na Rais Magufuli Reviewed by Zero Degree on 4/14/2017 05:56:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.