Loading...

VIDEO: Hili ndilo goli bora la mwezi wa 3 katika Ligi Kuu ya Uingereza [EPL]

Goli bora la Mwezi Machi katika Ligi Kuu ya Uingereza limetajwa, Andros Townsen amepata tuzo kutoka na goli lake kwenye Ligi Kuu kwa Mwezi wa 3 mwaka 2017.

Juhudi pekee za winga wa Crystal Palace baada ya kukimbia na kufanikiwa kupenya katika ngome ya ulinzi ya West Brom ilitosha kumpa tuzo, na kuwashinda wengine wngi waliokuwa katika mchakato.



Townsend amevumilia kwa muda mrefu katika msimu uliokuwa mgumu kwake, lakini kupitia kutambuliwa na wengi kwa juhudi zake za mwezi Machi inaweza kuwa kigezo cha kutosha kumhamasisha kocha Sam Allardyce na kumuweka katika nafasi salma ndani ya kikosi.


VIDEO: Hili ndilo goli bora la mwezi wa 3 katika Ligi Kuu ya Uingereza [EPL] VIDEO: Hili ndilo goli bora la mwezi wa 3 katika Ligi Kuu ya Uingereza [EPL] Reviewed by Zero Degree on 4/01/2017 01:58:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.