Loading...

VIDEO: Young Killer, Stamina & Billnas – ''Aje Mwenyewe''

Wasanii wa muziki wa hip hop Young Killer Msodoki, Billnass pamoja na Stamina wameachia video ya wimbo wao mpya wa pamoja uitwao ‘Aje Mwenyewe’. Video imeandaliwa na director Lucca kutoka kampuni ya Swahili na audio imeandaliwa na Kiri Rec.

VIDEO: Young Killer, Stamina & Billnas – ''Aje Mwenyewe'' VIDEO: Young Killer, Stamina & Billnas – ''Aje Mwenyewe'' Reviewed by Zero Degree on 4/15/2017 09:26:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.