Loading...

Askofu Gwajima amefunguka kuhusiana na sakata la mchanga wa madini

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ni muhimu madini yasichimbwe hadi itakapowekwa mashine za kuchenjua makinikia.

Akizungumza kwenye ibaada kanisani kwake leo Askofu Gwajima amesema, "Tusiogope kushtakiwa Magufuli(Rais John) piga marufuku makinikia kusafirishwa nje." 


"Madini yaliyopo Tanzania ni zaidi ya 300 lakini bado tuna umaskini tumelogwa na nani."
Askofu Gwajima amefunguka kuhusiana na sakata la mchanga wa madini Askofu Gwajima amefunguka kuhusiana na sakata la mchanga wa madini Reviewed by Zero Degree on 5/28/2017 06:16:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.