Loading...

AUDIO: Wimbo mpya wa Msanii Ben Pol akimshirikisha Darassa - "Tatu"

Baada ya picha za kushangaza za mkali wa R&B, Ben Pol kusambaa mitandaoni, muimbaji huyo ameachia audio yake mpya ya wimbo ‘Tatu’ akiwa akimshirikisha rapa Darassa. Audio imeandaliwa na Tiddy Hotter.

AUDIO: Wimbo mpya wa Msanii Ben Pol akimshirikisha Darassa - "Tatu" AUDIO: Wimbo mpya wa Msanii Ben Pol akimshirikisha Darassa - "Tatu" Reviewed by Zero Degree on 5/24/2017 03:31:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.