Loading...

Fainali ya kwanza ya UEFA kuchezwa kwenye uwanja huku paa likiwa limefungwa


Paa la Uwanja wa Taifa wa Wales litafungwa kwa sababu za kiusalama wakati wa fainali ya Ligi ya Mabingwa itakayofanyika mjini Cardiff.


Mashabiki wanaokadiliwa kufikia 170,000 wanategemewa kusafiri na kushudia mechi hiyo dhidi ya Real Madrid hapo Juni 3.

Itakuwa ni mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa kuchezwa kwenye uwanja huku paa lake likiwa limefungwa.

Shirikisho la Soka la Wales (FAW) limesema usalama ndiyo kipaombele chao cha kwanza.

Paa litafungwa kwa sababu ya kuhofia mashambulia ya drone kwa kile kinachotokea kunapofanyika mechi kubwa duniani.


Fainali ya kwanza ya UEFA kuchezwa kwenye uwanja huku paa likiwa limefungwa Fainali ya kwanza ya UEFA kuchezwa kwenye uwanja huku paa likiwa limefungwa Reviewed by Zero Degree on 5/27/2017 06:22:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.