Loading...

Kikosi cha wachezaji 24 wa ‘Taifa Stars’ kitakachoivaa Lesotho katika kusaka tiketi ya Afcon

Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza kikosi chake kwa ajili ya mechi ya kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Lesotho mwezi ujao June 10 – 2017.

Taifa Stars itaendelea kuongozwa na nahodha wake Mbwana Samatta ambaye anakipiga nchini Ubelgiji katika klabu ya KRC Genk.

Makipa;
  • Aishi Manula (Azam)
  • Benno Kakolanya (Yanga)
  • Said Mohammed (Mtibwa Sugar).
Mabeki;
  • Shomari Kapombe (Azam)
  • Hassan Kessy (Yanga)
  • Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’ (Simba) 
  • Mwinyi Haji Salim Mbonde (Mtibwa Sugar) 
  • Abdi Banda (Simba)
  • Erasto Nyoni (Azam ).
Viungo;
  • Himid Mao (Azam)
  • Jonas Mkude (Simba)
  • Said Ndemla (Simba)
  • Muzamiru Yassin (Simba)
  • Simon Msuva (Yanga)
  • Shiza Kichuya (Simba)
  • Farid Mussa (Tennerife, Hispania)
  • Abubakar Salum ( Azam)
Washambuliaji;
  • Mbwana Samatta (KRC Genk, Ubelgiji)
  • Thomas Ulimwengu (AFC Eskilstuna, Sweden)
  • Ibrahim Ajibu (Simba)
  • Mbarak Yussuf (Kagera Sugar)
  • Abdulrahman Mussa (Ruvu Shooting)
Kikosi cha wachezaji 24 wa ‘Taifa Stars’ kitakachoivaa Lesotho katika kusaka tiketi ya Afcon Kikosi cha wachezaji 24 wa ‘Taifa Stars’ kitakachoivaa Lesotho katika kusaka tiketi ya Afcon Reviewed by Zero Degree on 5/19/2017 07:12:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.