Loading...

Messi atwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi kwenye La Liga


Lionel Messi ameshinda tuzo ya mwanasoka bora wa mwezi wa La Liga.



Raia huyo wa Argentina amefunga mabao 51 katika mechi 49 hivyo kumfanya kushinda tuzo hiyo kwa Aprili lakini kwake inakuwa ni mfululizo.

Tayari amepachika mabao 504 akiwa na kikosi cha Barcelona.
Messi atwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi kwenye La Liga Messi atwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi kwenye La Liga Reviewed by Zero Degree on 5/13/2017 10:29:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.