Loading...

Ofisi ya Rais imekanusha taarifa inayosambazwa mitandaoni kuhusu vigezo vya utoaji ajira

Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na utawala bora imetoa taarifa kwa wananchi ya kuwataka wapuuze habari inayosambazwa katika itandao ya kijamii inayosema;

"Waziri wa utunishi, Angellah Kairuki amesema, kama wewe umemaliza chuo kiku lakini umri wako umevuka miaka 30 endelea kusubiri ajira. Sasa hivi tunachukua walio na umri chini ya miaka 30 kwani idadi yao ni kubwa." Ndivyo ilivyosomeka Habari hiyo.

Taarifa kamili hiyo hapo chini: 


Ofisi ya Rais imekanusha taarifa inayosambazwa mitandaoni kuhusu vigezo vya utoaji ajira Ofisi ya Rais imekanusha taarifa inayosambazwa mitandaoni kuhusu vigezo vya utoaji ajira Reviewed by Zero Degree on 5/12/2017 03:34:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.