Loading...

Rais Magufuli amefanya uteuzi mwingine leo tarehe 4, May 2017

Rais Magufuli amemteua Prof. Egid Beatus Mubofu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).

Taarifa iliyotolewa leo May 4, 2017 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuziwa Prof. Egid Beatus Mubofu umeanza May 2, 2017.

Prof. Egid Beatus Mubofu aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo amechukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Joseph B. Masikitiko ambaye uteuzi wake umetenguliwa.


Rais Magufuli amefanya uteuzi mwingine leo tarehe 4, May 2017 Rais Magufuli amefanya uteuzi mwingine leo tarehe 4, May 2017 Reviewed by Zero Degree on 5/04/2017 03:44:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.