Loading...

Rais Magufuli amefanya uteuzi mwingine leo Terehe 22, Mei 2017

Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli amemteua Adolf Hyasinth Mohondela Ndunguru kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA, uteuzi wake umeanza leo.

Kabla ya uteuzi huo, Adolf Hyasinth Mohondela Ndunguru alikuwa ni Kamishna wa Sera, Wizara ya Fedha na Mipango.

Adolf Hyasinth Mohondela Ndunguru anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Charles Edward Kichere ambaye hivi aliteuliwa kuwa Kamishna Mkuu wa TRA.

Rais Magufuli amefanya uteuzi mwingine leo Terehe 22, Mei 2017 Rais Magufuli amefanya uteuzi mwingine leo Terehe 22, Mei 2017 Reviewed by Zero Degree on 5/22/2017 11:25:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.