Loading...

Rais mpya wa Shirikisho la Soka barani Afrika [CAF] akataa kulipwa mshahara

Rais mpya wa shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) Ahmad, amesema amekataa mshahara kutoka kwa shrikisho hilo.

Kuchaguliwa kwake mwezi Machi kulimaliza uongozi wa raia wa Cameroon Issa Hayatou wa miaka 29.

"Nimekataa mshahara wa (CAF) kwa sababu iliyo rahisi, CAF haieshimu uongozi mzuri," aliiambia BBC.

Mishahara ya wafanyakazi wa CAF, kuanzia wasimamizi na kamati wakurugenzi hadi Rais inastahili kuwa na uwazi.

Ana mpango pia kushughulikia suala la uwekezaji wa CAF kusaidia kuboresha mchezo wa kandanda barani
 kote, akisema kuwa wajibu wa CAF sio kutengeneza pesa na kujitajirisha.
Rais mpya wa Shirikisho la Soka barani Afrika [CAF] akataa kulipwa mshahara Rais mpya wa Shirikisho la Soka barani Afrika [CAF] akataa kulipwa mshahara Reviewed by Zero Degree on 5/09/2017 12:54:00 AM Rating: 5

Powered by Blogger.