Loading...

Siku chache kabla ya mfungo wa Ramadhani, Ibrahim Ajibu aamua kuachana na ukapera


Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu “Cadabra” leo amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi.


Ajibu ameamua kukamilisha ndoto yake hiyo kwa kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi, siku chache kabla ya mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Siku chache kabla ya mfungo wa Ramadhani, Ibrahim Ajibu aamua kuachana na ukapera Siku chache kabla ya mfungo wa Ramadhani, Ibrahim Ajibu aamua kuachana na ukapera Reviewed by Zero Degree on 5/23/2017 10:15:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.