Loading...

TANZIA: Msanii wa Bongo Fleva, Mfaume Selemani 'Dogo Mfaume' afariki Dunia

Msanii wa Bongo Fleva, Mfaume Selemani ‘Dogo Mfaume’, aliyetamba zaidi na wimbo wake wa Kazi ya Dukani amefariki dunia leo.


Dogo Mfaume alikuwa Sober House (alikuwa akipata matibabu ya Matumizi ya Madawa ya Kulevya).



Habari zinasema, marehemu alikuwa amepangiwa kufanya Operation ya Kichwa (ambapo alikuwa na Uvimbe) siku ya Ijumaa.
TANZIA: Msanii wa Bongo Fleva, Mfaume Selemani 'Dogo Mfaume' afariki Dunia TANZIA: Msanii wa Bongo Fleva, Mfaume Selemani 'Dogo Mfaume' afariki Dunia Reviewed by Zero Degree on 5/17/2017 06:26:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.