Loading...

Video: Barcelona ilivyonyakua Kombe la Copa del Rey kwa mara ya 3 mfululizo


Mabao ya Barcelona yalifungwa na Lionel Messi dakika ya 30, Neymar dakika ya 45 na Paco Alcecer dakika ya 45, wakati la Alaves lilifungwa na beki Mfaransa,Theo Hernandez dakika ya 33.


WACHEZAJI wa Barcelona pichani wakisherekea kunyakua kombe la Mfalme (Copa del Rey) kwa mara ya tatu mfululizo baada ya Jumamosi usiku kuifunga timu ngumu ya Deportivo Alaves mabao 3-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa kwenue uwanja wa nyumbani wa Atletico Madrid wa Vicente Calderon mjini Madrid.

Video: Barcelona ilivyonyakua Kombe la Copa del Rey kwa mara ya 3 mfululizo Video: Barcelona ilivyonyakua Kombe la Copa del Rey kwa mara ya 3 mfululizo Reviewed by Zero Degree on 5/28/2017 12:28:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.