Loading...

VIDEO: Usipitwe na video ya wimbo mpya wa Aslay - 'Muhudumu'

Aslay ameonekana kuwa na hasira kwenye muziki. Msanii huyo ameachia video yake nyingine mpya ya wimbo wake ‘Muhudumu’ ambao yupo mwenyewe. Video hiyo imeongozwa na Tonee Blaze.

Tazama video ya wimbo huo kwa kubofya hapo chini kisha usisahau kuacha maoni yako kuhusiana na wimbo huu:

VIDEO: Usipitwe na video ya wimbo mpya wa Aslay - 'Muhudumu' VIDEO: Usipitwe na video ya wimbo mpya wa Aslay - 'Muhudumu' Reviewed by Zero Degree on 5/20/2017 09:20:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.