Loading...

VIDEO: Wenger baada ya kichapo cha goli 2-0 toka kwa mahasimu wao Tottenham HotSpurs

Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger amewapongeza Tottenham Hotspurs baada ya kushinda mchezo wao wa derby ya kaskazini mwa London katika Uwanja wa White Hart Lane.

Katika mchezo huo, Tottenham waliibuka na ushindi wa bao 2-0 na kuwahakikishia nafasi ya kumaliza juu ya mahasimu wao kwa mara ya kwanza toka mwaka 1995.

Mabao ya Delle Alli na Harry Kane yalitosha kuwahakikishia ushindi Spurs huku Arsenal ikimaliza mchezo katika nafasi ya 6.

VIDEO: Wenger baada ya kichapo cha goli 2-0 toka kwa mahasimu wao Tottenham HotSpurs VIDEO: Wenger baada ya kichapo cha goli 2-0 toka kwa mahasimu wao Tottenham HotSpurs Reviewed by Zero Degree on 5/02/2017 12:13:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.