Loading...

Waziri Mbarawa kumwakilisha Rais Magufuli nchini Rwanda

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, ameondoka nchini leo kwenda Kigali Rwanda, kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, kwenye mkutano wa siku mbili wa “Transform Africa Summit 2017”.

Mkutano huo utawakutanisha viongozi na wataalam mbalimbali Barani Afrika kwa lengo la kujadili masuala kadhaa ikiwemo maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT), hususan katika Ukanda wa Afrika Mashariki.

Taarifa kamili iko hapa chini:


Waziri Mbarawa kumwakilisha Rais Magufuli nchini Rwanda Waziri Mbarawa kumwakilisha Rais Magufuli nchini Rwanda Reviewed by Zero Degree on 5/10/2017 11:29:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.