Mwendesha mashtaka aliyegoma kupokea simu ya Trump ametimuliwa
Aliyekukuwa mwendesha mashtaka wa cheo cha juu mjini New York, Preet Bharara |
Preet Bharara aliambia shirika la ABC wiki hii kuwa alihisi simu hizo kutoka kwa Rais Trump zilikuwa zimevuka mipaka ya kawaida inayotenganisha ofisi ya rais na uchunguzi huru wa uhalifu.
Bwana Bharara alisema kuwa alifutwa baada ya kukataa kuchukua simu ya tatu ya Trump.
Ikulu ya white House haikujibu mara moja madai hayo ya bwana Bharara.
Bharara ambaye aliteuliwa na Obama na kuhudumu eneo la Manhattan, alisema ilionekana kuwa Trumo alijaribui kujenga uhusiano fulani baada ya wawili hao kukutana mwaka 2016.

"Rais obama hakunipigia simu hata mara moja katika kipindi cha miaka saba na nusu," bwana Bharara alisema.
Mwendesha mashtaka aliyegoma kupokea simu ya Trump ametimuliwa
Reviewed by Zero Degree
on
6/12/2017 10:37:00 AM
Rating: