Ronaldo athibitisha kupata watoto mapacha
Cristiano Ronaldo akiwa na mpenzi pamoja na mwanaye |
Siku nne zilizopita vyombo vya habari nchini Ureno vilitangaza kuwa pacha wake walizaliwa kutoka kwa mama aliyejitolea kushika mimba kwa niaba ya mkewe nchini Marekani.
Lakini ni baada ya timu yake kuondolewa katika mashindano hayo kwa njia ya penalti na chile ndipo sasa akathibitisha kuzaliwa kwa pacha hao.
Ronaldo aliandika katika facebook: Nina furaha chungu nzima, hatimaye kuwa na watoto wangu kwa mara ya kwanza. Tayari ana mtoto wa kiume, Cristiano Ronaldo Junior ambaye alizaliwa mnamo mwezi Juni 2010.
Mshambuliaji huyo wa Real madrid aliuanza ujumbe wake kwa kusema kwamba aliichezea timu yake kwa moyo wake wote licha ya kushindwa kufanikiwa.
Mechi hiyo ya nusu fainali iliyochezwa mjini Kazan iliisha kwa matokeo ya 0-0 huku Chile ikiiondosha Ureno kupitia mikwaju ya penalti ambapo wachezaji watatu wa Ureno walikosa kufunga.

Reviewed by Zero Degree
on
6/29/2017 05:01:00 PM
Rating: