Loading...

Video: Genevieve - 'Bonnie & Clyde'


Miss Tanzania 2010 ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo cha IFM, Genevieve ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Bonnie & Clyde’. Video imeongozwa na Ivan na kutayarishwa na Tris, hii ni kazi yake ya pili baada ya ‘Nana’ aliyoiachia mwezi April mwaka huu.

Video: Genevieve - 'Bonnie & Clyde' Video: Genevieve - 'Bonnie & Clyde' Reviewed by Zero Degree on 6/18/2017 02:21:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.