Loading...

Video: Diamond Platnumz amshirikisha Mnigeria Tiwa Savage kwenye hii mpya - 'Fire'


Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amefanya collabo na mwimbaji staa kutoka Nigeria, Tiwa Savage kwenye video ya wimbo unakwenda kwa jina la ‘Fire’. 

Video ya wimbo huo iko hapo chini unaweza kuitazama kisha tupia maoni yako kulingana na jinsi ulivyoipokea:

Video: Diamond Platnumz amshirikisha Mnigeria Tiwa Savage kwenye hii mpya - 'Fire' Video: Diamond Platnumz amshirikisha Mnigeria Tiwa Savage kwenye hii mpya - 'Fire' Reviewed by Zero Degree on 6/22/2017 02:29:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.