Loading...

Hatimaye shabiki wa Sunderland, Bradley Lowery afariki dunia akiwa na umri wa miaka 6


Ni sahihi kabisa kusema kwamba, Mwenyezi Mungu ni mkubwa na kila nafsi itaonja mauti. Habari si njema katika familia ya soka Uingereza na duniani kote, nayo ni kifo cha mtoto Bradley Lowery.

Bradley alikuwa shabiki namba moja wa Sunderland na rafiki namba moja wa mshambuliaji mkongwe wa Sunderland na England, Jermain Defoe.


Mtoto huyo aliyekuwa amefikisha miaka sita alianza kupambana na ugonjwa wa kansa tokea mwaka 2013 na alikuwa maarufu baada ya urafiki wake na defoe kusikika kila sehemu.
Hatimaye shabiki wa Sunderland, Bradley Lowery afariki dunia akiwa na umri wa miaka 6 Hatimaye shabiki wa Sunderland, Bradley Lowery afariki dunia akiwa na umri wa miaka 6 Reviewed by Zero Degree on 7/07/2017 07:28:00 PM Rating: 5

Powered by Blogger.